Advertisement

Responsive Advertisement

MMAREKANI, AMBAE PIA NI MMILIKI WA TIMU YA LIVERPOOL JOHN W HENRY AMEGOMA KUIUZA LIVERPOOL

Mmarekani agoma kuiuza Liverpool

Mmiliki wa Liverpool, John W Henry, amekataa kuipiga bei klabu hiyo licha ya mkongwe Jamie Jamie Carragher kutaka iwe hivyo.

Carragher alisema kitendo cha Henry kukubali kushiriki michuano mipya ya European Super League ni kuidhalilisha Liverpool.

Hata hivyo, baada ya Liver kujitoa, Henry amekiri kuwa alifanya kosa lakini haoni kama ni sahihi kwake kuiuza klabu hiyo.

Post a Comment

0 Comments