“Nishauri ikikupendeza usiende tu kutembelea magereza nenda kalale, aamka asubuhi utaona habari ya kule ndani, ndugu zangu kama kuna jambo gumu ni magereza, ukimpelekea mwanadamu kule hana hatia kilio na masikitiko yake hutobaki salama, naomba tuwe na umakini mkubwa katika suala zima la utoaji wa haki,” amesema mbunge wa Mlimba (CCM), Godwin Kunambi
0 Comments