Advertisement

Responsive Advertisement

KULETWA EUROPEAN SUPER LEAGUE LIVERPOOL NI FAIDA KWETU

CEO BILLY HOGAN KUHUSU TIMU YAO KUJIUNGA SUPER LEAGUE

Billy Hogan CEO wa Liverpool kuhusu timu yao
kujiunga na Super League:
"Tunajua mawazo haya yamewaumiza watu
wengi, lakini tunaamini maamuzi haya ni kwa
faida ya mchakato wa muda mrefu kwa klabu
yetu"

Liverpool nao wamewaweka sawa mashabiki wao wanaodhani si maamuzi sahihi kwa timu yao kujiunga na Super League.

Post a Comment

0 Comments