TAARIFA
Leo Jumanne Aprili 20, 2021 Kaimu Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Mheshimiwa Baraka Mwago pamoja na Katibu wa Kanda, Mheshimiwa Hemed Ali wamekutana na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Segerea ikiwa ni ziara ya kuzungukia majimbo yote 19 ya Kanda kupeleka Mkakati wa mwelekeo wa Kanda wa mwaka 2021/2022.
Pamoja na kushusha maelekezo mbalimbali, pia Kaimu Mwenyekiti na Katibu ambao waliongozana na Afisa Fedha na Raslimali wa Kanda, Mheshimiwa Jerry Kerenge walikutana uongozi wa Mkoa wa Ilala (unaojumuisha majimbo ya Ilala, Ukonga na Segerea) na Kamati tendaji ya Jimbo la Segerea na kufanya tathimini ya pamoja ya Uchaguzi mkuu uliopita.
Imetolewa leo Jumanne, Aprili 20 na;
GERVA LYENDA
_Afisa Habari na Mawasiliano Kanda_

0 Comments