Advertisement

Responsive Advertisement

JOAN LAPORTA: WAZO LA KUJIUNGA EUROPEAN SUPER CUP LILIFANIKISHWA NA RAIS ALIEPITA

Rais wa Fc Barcelona Joan Laporta amesema wazo la kukubaliana na kujiunga na Super League lilifanikishwa na Rais aliyepita wa klabu hiyo Josep Maria  Bartomeu

Kwa mujibu wa  COPE, Laporta amesema kwa upande wake haoni ulazima wa Ligi hiyo kwakuwa inaweza kuua kabisa sekta ya michezo iliyotengenezwa kwa muda mrefu

Laporta ameongeza kuwa amesoma na kuelewa namna Ligi hiyo itakavyoendeshwa, alichogundua ni kuwa, sababu kubwa ya kuanzishwa kwa Ligi hiyo ni kwaajili ya pesa tu lakini kwasasa mpira sio pesa tu

Post a Comment

0 Comments