Advertisement

Responsive Advertisement

FLORENTINO PEREZ: SOKA NI LAZIMA LIBADILIKE KAMA MAISHA YA KILA SIKU

Florentino Perez
"Soka lazima libadilike kama maisha ya kila siku
yalivyo, tunatakiwa kukabiliana na nyakati
tunazoishi sasa, tumepoteza mapato mengi na
haki za matangazo kila siku zinapungua.
Tunataka kuanzisha Super League ili kukabiliana
na hali mbaya za uchumi tulizonazo"

Mwenyekiti wa Super League Florentino Perez ambaye ni Rais wa Real Madrid akielezea kuhusu malengo ya kuanzisha Ligi hiyo.

Post a Comment

0 Comments