FAHAMU MAMBO 24 USIYOYAJUA KUHUSU BASI LA SIMBA SC
Simba ni timu ya kwanza Afrika Mashariki na kati kumiliki basi kama hili, sifa za hili basi zikoje..?
1. Lina full air condition
2. Lina choo ndani kwa ndani
3. Lina AIPAD kila siti
4. Ni Loyal Sitting
5. Lina internent
6. Charging Chamber
7. Hitters system Kipindi cha baridi
8. Lina Camera system mule ndani
9. Lina GPS navigation system
10. Lina hazard warning system for fire
11. Phone Charging system
12. Water tank system
13. Lina automatic open emergency chamber
14. Lina Google map finding bus control system GMBC SYSTEM
15. Ni automatic water system
16. Ni Fuel reserve tanks "LINA MANTEKI 4"
17. Ni hitters water taps, for colding season jani
18. Ni smart TV kila siti
19. Ni first AID small chamber
20. Ni automatic small table in and out for break fast
21. Siti za kukunjua automatic kwa ajili ya kulala
22. Touching windows
23. Ina mahema pia maalum
24. Ni SPEED BUS.
Post a Comment