Advertisement

Responsive Advertisement

DK. ANANILEA NKYA: RAIS SAMIA AKITAKA KUWEKA HISTORIA YA KUWA MAMA WA TANZANIA, ATENGENEZE KATIBA YA MSINGI


Rais Samia Suluhu Hassan, kama akitaka kuweka
historia ya kuwa Mama wa Tanzania, ahakikishe
Taifa linatengeneza katiba ambayo ni msingi wa
maendeleo, wananchi wote tutampa sapoti aachane na hao WanaCCM wachache wanaopenda masilahi yao binafsi-Dk. Ananilea Nkya

Post a Comment

0 Comments