Advertisement

Responsive Advertisement

BAADA YA MCHEZO KUISHA KATI YA YANGA SC NA GWAMBINA, KOCHA MPYA WA YANGA NASRREDINE NABI ALIITISHA KIKAO NA MSHAMBULIAJI SAIDO NTIBANZOKIZA

Juzi usiku baada ya Mchezo wa Yanga dhidi ya Gwambina FC kumalizika, Kocha mpya wa klabu ya Yanga, Mohamed Nasreddine Nabi, aliitisha kikao Cha dharua na mshambuaji wa Klabu hiyo Saido Ntibazonkiza.

Bin aliitisha kikao hicho cha ghalfa na mshambuaji huyo ili kujua nini kinamsibu kilichopelekea kufanya tukio lile la kuacha kushangilia na kuomba kutolewa mara baada ya kufunga bao dakika za mwisho.

 Kocha huyo amesema ndiyo asili yake yeye kushughulikia sintofahamu za Wachezaji pale inapotokea matukio Kama hayo katika timu yake.

Post a Comment

0 Comments