"Kila mtu anaweza kuwa anajiuliza je, nimeongezewa mkataba au hatima yangu itakuwaje bila kutaka kujua je, ikinibidi kuongeza mkataba nipo tayari kubaki? Nipo kwenye mazungumzo na klabu zaidi ya tatu na tukifikia makubaliano mtazijua.”
Fiston Abdoulrazaq
Mshambuliaji Yanga SC
0 Comments