“Sijui kuhusu wao kuondoka lakini nasema nawapenda wachezaji wangu, nahitaji kubakia nao kwa misimu mingi ijayo. Ni jambo zuri kutengeneza timu nzuri kwa misimu mingi ijayo"
“Nataka niwe nao wote kwa misimu miwili, mitatu au minne ijayo kwa ajili ya kujenga timu bora zaidi. Nina wachezaji wazuri lakini wanatakiwa kuboresha zaidi jinsi tunavyocheza. Najivunia kufanya kazi nao,"
Didier Gomes
-Kocha wa Simba SC akielezea kuhusu kutaka kuwabakiza Wachezaji wote kwa mismu ijayo
0 Comments