Simba SC v Azam FC

VPL Jumapili hii ni ... ✍

Mabingwa watetezi Simba SC watakuwa uwanja wa Benjamini Mkapa kupepetana na  matajiri wa Chamazi Azam FC.

Mechi hii kali itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka Live AzamSports1HD.

Hii inaitwa mpira biriani dhidi ya mpira Ice Cream. Je mpira upi utatakata na kuondoka na pointi 3?

Namungo FC baada ya kuchezea kichapo mechi iliyopita watakuwa uwanja wa Majaliwa kuwakabili Ruvu Shooting, mtanange huu utakuwa Live AzamSports2HD kuanzia saa 10:00 jioni.
#BinagoUPDATES

No comments