MOROCCO WANAKUWA MABINGWA WA CHAN2020

FULL-TIME  Stade Ahmadou Ahidjo, Yaounde. 

Mali 0-2 Morocco
⚽69' Soufiane Bouftini
⚽79' Ayoub El Kaabi

• Rasmi The Atlas Lions ndio Mabingwa wa Michuano ya CHAN; wamefanikiwa kutetea Ubingwa wao na Kuwa Timu ya Kwanza kubeba Mara mbili mfululizo.

• Morocco ilitinga Fainali ya Pili mfululizo na Kuwa pia Timu ya Kwanza kufanya hivyo Baada ya kuwafurusha Wenyeji Cameroon Kwenye Nusu Fainali... Hii leo wameifunga Mali Ambayo ndio Mara yao ya Kwanza kucheza Fainali wakitinga Baada ya kuwaondoa Washindi wa tatu wa Mashindano, Guinea kwa Mikwaju ya Penati Kwenye Nusu Fainali.

• Lhoussaine Ammouta na vijana wake sasa wameifikia rekodi ya DR Congo ya kushinda Ubingwa Mara mbili; HakunA Timu iliyoshinda zaidi; Morocco ilifunga mabao 15 wakiwa Kwenye Harakati yao ya kushinda kombe, wakiruhusu matatu tu - Soufiane Rahimi wa Morocco kamaliza mashindano kwa Kuwa mfungaji bora na mabao yake matano.

• Nahodha wa Timu ya taifa ya Morocco, Ayoub El Kaabi Baada ya Kufungla hii leo Anakuwa Mfungaji Bora wa Muda wotee wa Michuano ya CHAN kufuatia Kufikisha magoli 12.

#TotalCHAN2020MLIMAR 
#CHAN2020Final 
#MoroccoMali

.
.

#BinagoUPDATES

No comments