AFRIKA KUSINI WASITISHA MATUMIZI YA CHANJO YA CORONA COVID-19

Serikali ya Afrika Kusini imesitisha matumizi ya chanjo ya COVID-19 toka AstraZeneca baada ya tafiti kuonyesha matokeo yasiyo mazuri ya chanjo hiyo kwa aina ya kirusi kinachoenea nchini humo. Baadhi ya watu wamekosoa uamuzi huo wakisema bora mafanikio kidogo kuliko kukosa kabisa.
#BinagoUPDATES

No comments