MAALIM SEIF AFARIKI DUNIA

#BREAKINGNEWS Makamu wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia, Taarifa iliyotolewa na Raisi wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi imeeleza kuwa Maalim Seif amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.

R.I.P MAALIM SEIF
#BreakingNews #BinagoUPDATES

No comments