Advertisement

Responsive Advertisement

GOLIKIPA AKAMATWA AKIWEKA NDUMBA GOLINI KWAKE

#PICHA...
GOLIE ANASWA AKIWEKA JUJU

Milnda lango wa Teungueth FC 'Baye Cisse' alinaswa kwenye camera akitumia 'Juju' (NDUMBA) kwenye eneo lake la lango kabla ya kuanza kwa mpambano wao wa Kombe la Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Esprerance de Tunis jana.

Hata hivyo Teungueth walipoteza mechi hiyo kwa mabao 2 - 1.

#BinagoUPDATES

Post a Comment

0 Comments