DOROTHY GWAJIMA; TUFANYE MAZOEZI YA MARA KWA MARA

Picha ya siku: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na mme wake Bw. Methusela Gwajima mapema leo wakiwa kwenye mazoezi. Tufanye mazoezi ya mara kwa mara ili kulinda afya zetu, tuzingatie mtindo bora wa maisha, tupige nyungu bila kusahau kufanya ibada.
#BinagoUPDATES

No comments