Advertisement

Responsive Advertisement

Barcelona 5 - 1 Deportivo Alaves

Barcelona... 
#LaLiga
#Round23

Barcelona 5 - 1 Deportivo Alaves.
⚽29' Francisco Trincao ⚽57' Luis Roja
⚽45+1 Lionel Messi
⚽74' Francisco Trincao
⚽75' Lionel Messi
⚽80' Junior Firpo

Barcelona baada yakutoka kupoteza kwa Sevilla bao 2 - 0 usiku huu wanatoka kumpa kipigo kizito Deportivo Alaves cha mabao 5 - 1.

Licha ya ushindi wa kila mechi wa Barcelona, pia kuna wingi wa mabao ambao unaonekana katika kila mechi, hii inaonyesha ubora wa Washambuliaji wao Wakiongozwa na Lionel Messi kuwa bora zaidi.

Tutegemee nini kwa Ronald Koeman...?

#LIVE

Post a Comment

0 Comments