Advertisement

Responsive Advertisement

ANAANDIKA WASTARA ... ✍

AMEANDIKA Wastara

Mzazi yoyote yule asingeruhusu binti yake kufanyiwa hili ama kudharirishwa kama hivi ila hapa kuna vitu 2 au 3 ni sababu 
LA 1 ni kwa mama kajala kipenzi usimuamini mtoto wa kike hata siku moja mtoto wa kike anaepevuka huwa ana akili za kutamani kilakitu hasa kwenye mahusiano kuanzia miaka 14 mpka 20 huwa pasua kichwa sana na pia usimwamini kila anachokwambia wanajuaga kujitetea sana
Hivyo binti hatakiwi kuona chochote cha mahusiano unakifanya mbele yake maana atatamani hata huyo baba amshike yeye hiyo ni mehemko tu ya baleh hivyo jaribu kuwa nae mbali katika hilo la ukitoka nae jaribu kuvaa uhusika kidogo wa mama halisi wa kiafrica japo hata wazungu hawafanyi ujinga mbele ya watoto wao jaribu kudhibiti uhuru uliyompa mtoto wa kike ajichungi uchungwa atakiwi kupewa uhuru mpende utakavyo lakini usiruhusu ajiachie sana anatoka uoga
LA 2 ni hamisa kama kweli alikuwa anajua kuwa anampeleka huyo dogo kwa van basi amekosea sana umekosea mdogo wangu mtoto anauma linaweza kukurudia hata wewe kwa binti yako ni kosa
 LA 3 paula anaonekana anamjua rayvan vizuri na amemzoea kuonana kwa siku moja tu asingeweza kumwita dad nàkupenda wamezoeana saa ngapi mpka aweze kumzoea hivyo unaweza kuwa hujui lakini wameanza muda tu kwa uelewa wangu wa kijinga nilivyoona kwenye clip
LA 4 kwa paula mwenyewe paula wewe sio mtoto kihivyo unajua baya na nzuri unawezaje kunywa pombe kama aujui
Unawezaje kukubali tu kuwa na mwanaume faragha ujui mamaako na babaako wanapitia nini juu yako haya unajiskiaje sasa kuona mama yako ndio anabebelea mizigo yako kipenzi usikubali kabisa tena kabisa kushoot ama kupigwa pic  na yoyote yule maana hujui nia ya huyo ulienae kwanin unajisahau hivyo kuwa wewe bado aujafkia huo ukubwa unaoutaka baby wangu  please mfunike mamaako asidharirike RAYVAN umenichefua sana ningekuwa ni mimi sijui ningekufanya nini kosa gani kakufanyia kajala mpka umlipe maumivu makubwa hivi 
Jamani haya mambo yanatokea kwenye familia yoyote ile sio mageni isiwe sababu ya kumdharirisha huyo mtoto na mamaake hata wao wanaumia mvae viatu vyao vaeni viatu vya kajala hata kwa dakika 5 ujue anayopitia inauma ni kama yeye ndio kafanya huo ujinga maana maumivu yote kayabeba yeye.

#BinagoUPDATES


Post a Comment

0 Comments