Advertisement

Responsive Advertisement

AMEANDIKA MUHASISHAJI WA YANGA ANTONIO NUGAZ, "MASHABIKI MSIWE NA SHAKA KUTOKA DROO SIO TATIZO, MPAKA SASA TUNA REKODI SAHIHI"

Ameandika Afisa Muhamasishaji na Msemaji wa Yanga antonionugaz 

Mwanachama,mpenzi na shabiki wa Yanga yangasc Kwanini ukajikosesha amani kwa timu kutoka sare na kuaminishwa Kuwa timu haitopata matokeo na wewe unaamini hilo.

Kumbuka mpaka sasa tuko kileleni (Namba moja) kwenye msimamo wa ligi na pia tukiwa na rekodi sahihi ya kutopoteza Mchezo hata mmoja.

Lazima tukubaliane na matokeo ya Mpira na sio kulaumu sana kana kwamba tuko nafasi ya 8 au tunaburuza mkia.

Tambeni Mtaani msitembee kinyonge,vimbeni mtaani na muendelee kuipa hamasa timu yetu Insha Allah kila kitu kitaenda Sawa.

Kisha tukutane Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya jumatano kwenye Mchezo wetu dhidi ya Kagera Sugar saa 1 Kamili usiku Tujitokeze kwa wingi bila kukosa.Ameandika Afisa Muhamasishaji na Msemaji wa Yanga antonionugaz 

Mwanachama,mpenzi na shabiki wa Yanga yangasc Kwanini ukajikosesha amani kwa timu kutoka sare na kuaminishwa Kuwa timu haitopata matokeo na wewe unaamini hilo.

Kumbuka mpaka sasa tuko kileleni (Namba moja) kwenye msimamo wa ligi na pia tukiwa na rekodi sahihi ya kutopoteza Mchezo hata mmoja.

Lazima tukubaliane na matokeo ya Mpira na sio kulaumu sana kana kwamba tuko nafasi ya 8 au tunaburuza mkia.

Tambeni Mtaani msitembee kinyonge,vimbeni mtaani na muendelee kuipa hamasa timu yetu Insha Allah kila kitu kitaenda Sawa.

Kisha tukutane Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya jumatano kwenye Mchezo wetu dhidi ya Kagera Sugar saa 1 Kamili usiku Tujitokeze kwa wingi bila kukosa.
#BinagoUPDATES

Post a Comment

0 Comments