TANZANIA KUKIPIGA NA ZAMBIA LEO
#AfricanNationsChampionshipGroupDRound1
Zambia V Tanzania 7:00 PM Usiku
Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars leo saa 1:00 usiku itatupa karata yake ya kwanza ya michuano hii kwa kucheza na Zambia maarufu Chipolopolo.
Taifa Stars mara ya mwisho kucheza na Zambia ilikuwa kwenye COSAFA ambapo Tanzania ilipoteza magoli 4-2.
... CHAN 2020/21 🔥
#BinagoUPDATES
Post a Comment