DAKTARI; YACOUBA BADO NI MAJERAHA
Yacouba tunampleka tena hospitali ili kumfanyia vipimo vingine zaidi kufahamu shida ambayo inamsumbua ni ipi na kwa nini ameshindwa kupona katika matibabu ya awali na baada ya hapo ndio ataanza tiba mpya na kufahamu atakuwa nje kwa muda gani. - Daktari wa Yanga."
#BinagoUPDATES
Post a Comment