#BREAKINGNEWS - Aliekuwa kocha wa Simba SC Sven Vanderbroeck APATA SHAVU JINGINE
FAR Rabat ya Morocco imemteua kocha Raia wa Ubeligiji Sven Vanderbroeck (41) kuwa kocha wao mkuu akichukua nafasi ya Abderrahim Talib aliyetimuliwa.
Amesaini miaka 2.
#BinagoUPDATES
Post a Comment