MICHAEL SARPONG KUONDOKA YANGA SC

UPO uwezekano mkubwa wa mshambuliaji wa kimataifa wa Yanga Mghana Michael Sarpong kuondoka kati ya mwanzoni au mwisho mwa msimu huu baada ya kupata dili la kucheza nje ya nchi"

Mghana huyo hivi sasa ameonekana kutokuwa na mchango mkubwa katika kikosi cha Mrundi Cedric Kaze mwenye mabao manne pekee katika msimu huu wa Ligi Kuu Bara"
#BinagoUPDATES

No comments