Kiungo matata ambae amekuwa hana nafasi kwa mrefu Arsenal, ametua katika miamba ya Fenerbahce ya Uturuki, kuitumikia miamba hiyo kwa miaka 3 na nusu.Taaarifa zinasema wenda akatamburishwa Jumamosi leo hii.#BinagoUPDATES
Post a Comment