OFISA ELIMU MKOA WA RUKWA AMEWARUHUSU WANAFUNZI KUVAA SARE ZA SHULE YA MSINGI

OFISA  Elimu Mkoa wa Rukwa, Abel Ntupwa amewataka wakuu wa shule za sekondari wawaruhusu wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza kuvaa sare walizokuwa wakizitumia wakiwa shule za msingi hadi hapo wazazi ama walezi wao wakapo wanunulia"

Amesema amelazimika kutoa maelekezo hayo kutokana na mahudhurio hafifu ya wanafunzi walioripoti kujiunga na kidato cha kwanza katika shule mbalimbali walizopangiwa mkoani humo"

Shule zimefunguliwa rasmi juzi Jumatatu Januari 11,2020."
#BinagoUPDATES

No comments