CHUO KIKUU CHA RWANDA CHAELEMEWA WANAFUNZI

CHUO KIKUU RWANDA CHAELEMEWA WANAFUNZI;"

CHUO Kikuu cha Rwanda kimedahili wanafunzi wengi kuliko uwezo wake"

Aidha, maombi zaidi yanazidi kumiminika kwa wanafunzi kuomba kujiunga na chuo hicho kikongwe kwa ajili ya mwaka wa masomo 2020/2021"

Kwa mujibu wa Msajili wa Wanafunzi wa chuo hicho, Odette Uwizeye chuo hicho kimedahili mara dufu wanafunzi wa shahada ya kwanza katika programu mbalimbali na bado kuna maombi mengi hayajafanyiwa kazi."
#BinagoUPDATES

No comments