MEDY KAGERE AMKATAA BABA YAKE MZAZI

VEDASTU KATOROGWA ANAYESEMEKANA NI BABA YAKE NA MCHEZAJI WA SIMBA SC MEDDIE KAGERE 

NIKASEMA INABIDI NIONANE NA VIONGOZI LAKINI SASA KIONGOZI NILIYEONANA NAYE NI YULE WA SIMBA SC ANAITWA ABBAS, NIKAMUELEZEA AKANIAMBIA NITAMUONA KAGERE NIMWAMBIE, ALIVYOONANA NA KAGERE, KAGERE ALIMJIBU KUWA "MIMI SINA NDUGU HUKU, NDUGU ZANGU WAPO SOUTH AFRICA"

PIA AMEONGEZEA KWA KUSEMA KUWA "MIMI NA KAGERE TUONANE IKIWEZEKANA HATA DNA TUPIME" 

KUNA HAJA YA DNA KWELI HAPA ?
#BinagoUPDATES

No comments