Wanayanga kuweni na subira, timu yetu ipo vizuri na tumemaliza mwaka bila kufungwa tulitamani kupata alama tatu lakini haikuwezekana. Baada ya kumaliza mechi jana tunajiandaa na mechi zijazo na lengo letu ni kuhakikisha tunafanya vizur - Cedric Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga.
Post a Comment