PICHA :Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi jana amemwapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi baada ya Ndugu Abdulhamid Yahya Mzee kumaliza utumishi wake Serikalini na kustaafu.
Post a Comment