RAISI WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMJULIA HALI HAMAD MATAR
PICHA: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimjulia hali, Hamadi Matar Abdalla (39) Mkaazi wa Kinuni Magharibi “B” akiwa ni miongoni mwa majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa Jengo la Nyumba ya Kihistoria ya Beit el Ajab, ambaye amelazwa katika Wodi ya wagonjwa mbali mbali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja alipowatembelea Wagonjwa waliolazwa katika haospitali hiyo leo (kulia kwa Rais) ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja, Dk. Marijani Msafiri Marijani.
Post a Comment