JPM; UNAUZA BIDHAA MILIONI 2 UNATOA RISITI YA 2,000/=

#JPM kumekuwa na tabia kwa mtu kuuza bidhaa zenye thamani ya shilingi milioni 2 lakini anatoa risiti ya 2000 kwakuwa kodi hizi zinasaidia ufanyikaji wa miradi, hivyo nimeiagiza TRA kuwashughulikia hao wote kwasababu wanahujumu miradi." amesema  Magufuri.

#BinagoUPDATES

No comments