Always huwa nasema waamuzi nao ni binadamu, kukosea ni sehemu ya maumbile yetu lakini makosa ya marudio kila siku ni lazima tuje na majawabu. Pakuanzia ni kufungia waamuzi wanaoharibu mechi hususan wale wanaoyarudia makosa mara kwa mara" - Haji Manara
Toa maoni yako!
Post a Comment