VYOMBO VYA HABARI NCHINI UGANDA VYAKATAA KURUSHA HOTUBA YA RAISI MUSEVENI

UGANDA: VYOMBO VYA HABARI VYAKATAA KURUSHA HOTUBA YA RAIS MUSEVENI;"

Hotuba hiyo inatakiwa kutushwa kila Jumapili kwa saa 3"

 Muungano wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari umesema, wakati wa kampeni wagombea wote wanapaswa kupewa nafasi sawa"

TANZANIA wahariri wangepewa Uhujumu Uchumi."
#BreakingNews #BinagoUPDTES

No comments