Siku ya Watu wanaotumia shoto
Siku ya watu wanaotumia shoto kuandika
Wapo mastaa na watu mashuhuri duniani wanaotumia shoto
Mfano
*Obama;rais wa Marekani
*Eminem;Mwana mziki Marekani
*Justin Bieber;Mwana mziki Marekani
*Morgan;Mcheza filamu Marekani
*Oprah;Mwandishi Marekani
*Mama Janeth Magufili;Tanzania
*Binago;Blogger na Mwandishi Tanzania
*Messi;mcheza mpira Argentina
*Trump;Rais Marekani n.k....
Kheri ya siku ya watu wanaotumia shoto(mkono na mguu)
#MASHOTO
Post a Comment