mchungaji na Mganga (mpiga Ramli) vitani uko Mjiini Nakuru
Mzozo uliibuka baina yao pale ambapo mhubiri alikataa kufunganya virago na kuondoka naye ‘daktari’ akatishia kumtandika iwapo angeendelea kutatiza huduma yake kulingana na ripoti ya Taifa Leo.
Mzozo huo ulivutia umati mkubwa wa watu ambao wlaikusanyika eneo hilo kujionea sinema ya bwerere.
Inasemekana makanga wa madereva walilazimika kuingilia kati kuwatenganisha wawili hao huku baadhi ya watu wakimsuta mpiga ramli na kumuunga mkono mchungaji huyo.
Je unataarifa ya kusisimua unataka tuchapishe kuhusu dini,tafadhali tuma kupitia whatspp +255759701713
Post a Comment