unaijua Kesho yako???

Kama kuna Utajiri MKUBWA ambao MUNGU anaweza akakupa ni  uwezo wa KUIONA KESHO YAKO; Ukiijuaa kesho leo yako utaishi kwaajiri ya kesho.



Na mwanzo Mkubwa wa umaskini nikutokufanikiwa kwako ni kuishi leo bila kuijua kesho yako.



Nasikia Kutoka Ndani, nikutangazie kuwa wewe
KESHO KUBWA INAKUJA, Itakuwa kheri Kama Ummoja Kati Ya Wale Walioiona Kesho nakuishi leo kwa ajiri ya KESHO.



               BISHOP PHILIMON MIRAMBO; Nzega Tabora

Usisahau ku subscribe YouTube channel yetu @BinagoTv
  

No comments