Faustine Ndugulile rasmi mgombea ubunge jimbo la Kigamboni baada kuibuka mshindi kwa kula 190' Alifuatiwa na Paul Makonda @babakeagan aliekuwa na kula 122' Faustine Ndugulile - 190' Paul Makonda - 122 . . #binagoupdates #SIASA
Post a Comment