Mimi sio Yesu,Usiniabudu

Habari!
Kwa wale wanaowachukulia hawa kuwa ndio Yesu tuache,hawa ni waigizaji tu kama alivyokuwa Kanumba,watakufa tu na kufufuka hawawezi kama Yesu Kristo wa Ukweli alivyoweza Fufuka!

Tuache kuwaweka kwenye kuta za nyumba zetu na kujitetea kuwa hatuwaabudu,eti ni mfano tu wa Yesu,
ndio mnachukulia hivyo!

hapana,hizo ni Sanamu na imekatazwa kibiblia kuabudu sanamu na hata kujitengenezea!

Hongera kwa somo!

Barikiwa sana!

No comments