Ijue siri ya Corona ktk Biblia! Siku za mwisho zimefika
BY MWL. DALALI.
HAKIKA MUNGU YUPO.
Mpendwa, mimi binafsi kuna mtu mmoja duniani
ambaye huwa namshangaa sana. Mtu huyu ni
binadamu anayedai kuwa Mungu hayupo...sijui kama
wewe ndiye mtu huyo.
Katika kipindi cha zama fulani za maisha ya
Mwanasayansi mdogo CHARLES DARWIN aliamini
kuwa kuna Mungu. Lakini siku moja akabahatika
kufanya ziara katika kisiwa cha Galapagos huko
uingereza, katika kisiwa hicho aliona vizalia vingi vya
viumbe mbalimbali vikiwa katika mfumo endelevu
wa uzalianaji. Darwin alishangaa sana, akaitukana
ile imani yake ya mwanzo kwamba kuna Mungu
aliyeumba vyote. Alikisia kuwa uwepo wa Mungu
ni dhana isiyo ya kisayansi ina isiyo na ushahidi wa
kutosha.
Ilikuwa ni mwaka wa 1831 Darwin alipoupasha
ulimwengu juu ya dhana ya kuwa hakuna Mungu
akidai kuwa dunia haina mwanzo wala mwanzilishi
wake...kila kitu kinakuwepo kwa sababu kipo na
kilikuwepo. Dhana hii iliuyumbisha ulimwengu hata
leo.
Ikumbukwe kuwa wapo wanasayansi wengine katika
mwaka wa 1991 walimtafuta Mungu kwa njia ya
kisayansi..kama unaweza kukumbuka the 1991COBE
satellite ama discovery of the century ( ugunduzi wa
karne) ..wanasayansi hawa wakadai kuwa dunia ina
mwanzo wake hivyo yuko Mungu...dhana hii iliendelea
kupingwa na ulimwengu.
Lakini mara zote mwanadamu amekuwa akikumbwa
na changamoto kama magonjwa, matetemeko
ya ardhi , kimbunga na mambo mengine ya asili
yanayompelekea kutaka zaidi msaada...hivyo
mwanadamu ameendelea katika matambiko na
kujichongea mungu anayeonekana kwa macho yake
hata kama angekuwa hana uhai kama vile mti iwapo tu
anaamini alipata faraja japo kwa muda.
Sasa dunia yote inapokumbwa na janga kubwa kama
ugonjwa wa Corona mwanadamu ameijaribu miungu
yake lakini haikutoa majibu ..mpaka waganga wanavaa
barakoa na kujifukiza...Naam nafasi ya Mungu
asiyevaa barakoa kuogopa Corona inaonekana.
Mataifa makubwa yaliyoiyumbisha dunia
na kuwasononesha wakazi wake nayo
yanatetemeka...Mungu atabaki kuwa Mungu....Ufunuo
4:11. Wale waliotambua hata mwanzo wanafurahi
kwani wanakumbuka usemi wa mwisho wa Yesu "
Hayo ndiyo mwanzo wa utungu." Mathayo 24:8
Akili ya mwanadamu imetoa wazo kuwa majanga
kama CORONA ni vita vya kiuchumi, mimi sipingi
hoja hii kwani nami ni mwanauchumi naelewa lakini
jicho la kiroho linatakikana katika kupambanua kile
kinachoendelea duniani. Maadam kinatokea hapa
duniani je, kanisa linaumia vipi...Mungu hakunyamaza
kwa kila kitakachoupata ulimwengu alitualifu.
ISAYA 24 MUNGU anajifunua juu ya siri ya ulimwengu
katika nyakati hizi za mwisho. Soma kwa makini...huo
ni mwanzo wa utungu.. Corona ni mwanzo wa
utungu...yajayo ni Mungu pekee ajuaye tutaishi vipi.

Ni wito wagu tumrudie Muumba kwa fedha na
kazi havina msaada kwa sasa tena dunia imeenda
mbele na kugundua matumizi ya robbots katika
uzalishaji...ukiwepo mwaka 2030 utakuwa shahidi kwa
kile kitakachokuwapo duniani utanipigia simu yangu
kunishuhudia maono...elimu kwa sasa imebaki kama
chenji isiyo na faida..
Tumtafute Mungu tusitegemee akili zetu..Mithali 3:1-7
WITO WA MUNGU..." TOKENI KWAKE MSISHIRIKI
DHAMBI ZAKE." UFUNUO 18:4
NJOONI TUMWABUDU MUUMBAJI ...UFUNUO 14:7....
MUNGU ATUTIE NGUVU.

Post a Comment