Zitto Adai Mama Rwakatare amekufa kwa Corona

Hii ni baada ya Mbunge Zitto kupost katika account yake ya Twitter kuwa kikawaida na kutokana na kanuni za bunge tukufu ni lazima Mbunge aagwe bungeni, inakuweje leo hapana,na azikwe tu kiolela na watu wasiozidi 10,ALISEMA ZITTO .


KUMBUKA KUOMBA REHEMA KILA SIKU, USICHOKE KULIOMBEA TAIFA LETU TANZANIA, MUNGU ATUEPUSHE NA CORONA, AMEN BARIKIWA!

No comments