Bibi wa miaka 68 azaa mapacha uko Nigeria
Je unaimani kuwa tatizo lako la ugumba sio kubwa ukimtegemea Yesu Kristo!
Ibrahim na Sara kwa imani zao walipata mtoto Isaka uku Sara akiwa na miaka tisini na kenda ,Mwanzo 21:2
Tumeshuhudia jinsi ambavyo tatizo la Wanawake kutopata Watoto pale wanapowahitaji linavyotuumiza au kuwaumiza Ndugu Jamaa na Marafiki na hata wengine kukata tamaa lakini Bibi huyu wa Nigeria hadithi yake nitofauti kidogo kwa sababu yeye hakukubali kukaa chini.
Unaambiwa kwa miaka 43 yeye na Mume wake walikua wakisumbuka kupata Mtoto au Watoto, hatimaye leo hii wamepata tena na habari zao kupata uzito kwenye vichwa vya habari vya kimataifa kwasababu ujio wa Watoto wao sio wa kawaida kwani Bibi huyo amejifungua akiwa na umri wa miaka 68.
Mungu ni mkuu,mwamini yeye wewe ambaye hauna mtoto,utapata Siku moja,Usiende kwa wanganga wa kienyeji kwani kumbuka kuwa Amelahiniwa mtu yule amtegemeae mwanadamu.
KUMBUKA KUOMBA REHEMA KILA SIKU, USICHOKE KULIOMBEA TAIFA LETU TANZANIA, MUNGU ATUEPUSHE NA CORONA!
AMEN,BARIKIWA!

Post a Comment