Corona Kisa chake ni KULA POPO!Amini hivyo!

Kwa Wachina Kula Popo ni mambo la kawaida,wakati kwa Mungu ni hapana

Soma Mambo ya Walawi 11:1- mpaka  mwisho,vyakula vingine ambavyo hatutakiwi kula ni hivi chini👇

Tuwe macho,corona ni Tauni ,ambayo ni moja ya magonjwa yanayoashilia kuwa  mwisho wa dunia umefika!

Tutubu,tusali usiku na mchana!
Zaidi ya yote tushike amri kuu ambayo ni UPENDO!

BARIKIWA!

No comments