π˜Ώπ™π™Šπ™Š ZA π˜Ύπ˜Όπ™-π˜Ύπ™‡

Mechi za mkondo wa kwanza zitapigwa kati ya Machi 29-31 na kurudiana kati ya Aprili 5-7, 2024. 



πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Simba SC — Al Ahly πŸ‡ͺπŸ‡¬



πŸ‡¨πŸ‡© TP Mazembe — Petro Atletico πŸ‡¦πŸ‡΄



πŸ‡ΉπŸ‡³ Esperance — ASEC Mimosas 




πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Yanga SC — Mamelodi Sundowns πŸ‡ΏπŸ‡¦


Nusu fainali ;


Esperance/ASEC vs Yanga vs Mamelodi

TP Mazembe/Petro Atl vs Simba/Al Ahly 



Vipi ni Yanga au Simba atavuka Nusu fainali au ni wote? ⚽️ πŸ”₯ 

No comments