Nondo ni beki tegemezi wa Yanga.. ukweli usemwe
Muundo wa ulinzi wa klabu ya Yanga unakosa vitu vingi ikiwa Bakari Mwamnyeto atakuwa nje ya pitch / field : Bakari Mwamnyeto anaifanya Yanga kwenye zone ya kwanza kuwa imara zaidi ...? Defense inakosa vitu vingi
1: Anakupa faida ya kudhibiti wa hatari kwenye lango lake, kwa maana ni mkatili akiwa katika himaya yake : "defensive" anaweza kuzima crossing zote zitakazopigwa langoni
2: Akiwa nje Yanga inakosa ile defending the box zaidi na playing highline : kukaba eneo kubwa la uwanja na kufanya shadow pressing kuelekea lango la mpinzani "offensive"
3: Communication : anaipa Yanga mawasiliano baina ya mstari wa mabeki na mstari wa kiungo chao between lines, mawasiliano hukumbusha wachezaji kuwa mchezoni Wakati wote
✍🏻Kubwa zaidi kwa Bakari Mwamnyeto ukiachana na kulinda / kudhibiti vizuri anakupa magoli na assists miguu kwake : kwenye sura mbili muhimu utanufaika nae Defending and Attack
1: Defensive : atakupa ulinzi ulinzi imara zaidi na zone ya ulinzi kuwa salama zaidi
2: Offensive : atakupa magoli na assists ikiwa muda / wakati timu inamuhitaji help wengine kwenye transition ya kulishambulia lango la mpinzani
✍🏻Bahati mbaya amekuwa akilipa gharama za kuandikwa / kusemwa kwa maneno magumu pale anapokea : mistakes zinatokea, sawa tukubaliane anafanya makosa (siku mbaya kazini its happened hata kwa wachezaji) lakini Mwamnyeto hakuna mahali anafanya makusudi
CC Moshi jr
Post a Comment