RASMI: Quincy Promes amehukumiwa kifungo cha miaka 6 jela! ⚖️ Mholanzi huyo alikiri kuhusika katika uingizaji wa zaidi ya kilo 1,300 za kokeini. Thamani ya bidhaa hiyo inakadiriwa kuwa €75 milioni. 💰
Post a Comment