"CHASAMBI alitakiwa awe Leipzig " Dauda
➖Dalali Shaffih Dauda kila akikosa Biashara ya udalali huwa anatoa kelele sana kwa Wachezaji waliomkatalia kuwa nae.
Anasema alimpatia Ladaky Chasambi timu nje ya nchi na aliongea nae pamoja na Agent wake ila alishangaa akitangazwa Simba.
Sasa Huu ni uongo mkubwa maana anajua mchezaji alikuwa na mkataba na Mtibwa Why hajaenda kwenye timu? Au sasa yupo Simba kama hiyo Deal ipo Why asiende kuongea na Timu ya Simba?
Anataka kudanganya watu Kuwa angempeleka bila Timu kujua au alikuwa anataka Awe huru ndio ampeleke huu ni uvunjifu wa Kanuni na kinyume na Miongozo ya Mpira wakati akijua bado amefungiwa kijihusisha na Mpira.
Tusidanganyike kiwepesi lakini pia asisahau kuwa wapo wachezaji ambao wametoka Simba na kwenda Ulaya tena miezi michache iliyopita hivyo Ladaky Chasambi ataenda kwa uwezo sio kwa kutengenezewa mazingira ya uongo.
Yaani Timu ya RB Salzburg ya Austria imtake Ladack Chasambi halafu wewe Shaffih Dauda uache kisa Kasajiliwa Simba Wakati alikuwa pia na Mkataba ndani ya Timu ya Mtibwa?
Kosa Moja ulilofanya Wakati Unaongea na Mchezaji Uliweka IPhone yako Mezani halafu simu ikaita dogo akaona mtu anaepiga ndipo ulipotaka kumpeleka mengine yote zuga tu.
Kama ni Uongo Deal haliwezi kufa peleka Simba milango ipo wazi Kijana aende Ulaya bana maana kipengele cha kuuzwa kipo huru sana kwake katika mkataba wake.
Tunataka Uongee na Ulivyokuwa unaisagia Kunguni Timu ya Simba kwa Kijana maana ulimwambia hilo katika kumshawishi hasisajili
Post a Comment