"DIGALA ; TUUMIE KISTAARABU NA PANADOL PEMBENI"


"DIGALA ; TUUMIE KISTAARABU NA PANADOL PEMBENI"


"Gael Bigirimana alicheza under 20 ya England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 mwaka 2013, kanuni 'za England' ni kuwa, kucheza umri chini ya miaka 20 lazima angalau uwe na miaka 16 na isizidi miaka 20"


"2013 mpaka sasa ni Span ya miaka tisa, aliitwa timu ya taifa ya England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 akiwa na miaka 20 kamili, ukipiga hesabu ni kuwa, October mwaka huu atafikisha miaka 29, kwa sasa ni kweli ana miaka 28"


"Huwezi kucheza England national team KIMAGUMASHI, pasi na shaka miaka 28 ni umri sahihi"


🔍 Shaffih Dauda mchambuzi 

No comments