Rasmi: Christian Eriksen amerudi kwenye SOKA

Christian Eriksen ameruhusiwa kufanya mazoezi na timu ya 2 ya AFC Ajax huku akiendelea kutafuta uhamisho wake kwenye klabu mpya. ⚽

Ni vizuri kumuona tena kwenye SOKA ⚽🔥
📸: AFC Ajax.
TANGAZA KWENYE APPLICATION YETU KWA GHARAMA NAFUU TUPIGIE 0621663340


No comments