VANESA; SISI KAMA EMIRATES ALUMINIUM TUNA FAIDA KUBWA

Mratibu wa project kupitia kampuni ya Emirate Aluminium Vanesa Patrick,katika maonesho ya mkutano wa pili wa mwaka wa Bodi ya usajili wabunifu na wakadiriaji majenzi jijini Arusha kupitia bidhaa wanazozalisha wamewashauri jamii kutumia bidhaa zenye ubora na viwango vinavyohitajika kimataifa.

"Katika mkutano huu,sisi kama Emirate tuna faida kubwa kwani tutawapa uelewa wateja wetu majibu ambayo tumekuja nayo katika kazi za ujenzi ili nao waweze kuzitendea kazi ipasavyo."Vanesa Patrick Mratibu wa project kupiyia kampuni ya Emirate Aluminium

"Matarajio yetu ni elimu ifike na kueleweka vizuri kwa jamii na sisi kuweza kuuza bidhaa zetu kwa ubora ambao tunao."Vanesa Patrick Mratibu wa project kupiyia kampunk ya Emirate Aluminium

No comments